House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ *KODI YAKE 80K X4 //*
*ILIPWE ELFU THEMANINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE SUBMETER
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
#FULL PAVING..
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
SERVICE CHARGE 15K
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.*
๐ก๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA.
CALL 0659244543