House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
##OFA ##OFA ##OFA: WAI MAPEMA NIMEISHISHA MIEZI TU KWA SASA NJOO NA 230X3 TU
NI APARTMENT NZUR MNOOOOO
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)TU
YA CHIN NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI