House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT NZURI SANA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= × 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 18/10/2024
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#HAKUNA JIKO
#HAKUNA SEBULE
#AIR - CONDITION
#HII NI MASTER BEDROOM KIKUBWA SANA
#PARKING KUBWA
#GARDEN NZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
📌WANATAKIWA MABACHELEA WA KIUME NA WAKIKE AU MTU NA MWENZA WAKE TUU
BEI NI 250,000/= X 6
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
💥 ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 18/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300