House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA
.
.
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
.
SIFA ZAKE
########
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
CHOO NDANI
SEEM YA JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
FEN JUU SAFI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
.
UMBALI KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU MOJA TU MPKA GETIN
.
BRBR NAYO NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE MPKA NYUMBAN
.
CHA JUU APO NDO KIPO WAZI
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0712656027