House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X6)KIMARA SUKA 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 800, UNASHUKA BAJAJI DK 4 UPO NYUMBANI...NJIA NZURI MPAKA NYUMBANI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
INAPANGISHWA 150,000X6
LOCATION KIMARA SUKA
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️KIBARAZA CHAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO UMEME SUB METER MAJI YANA FLOW NDANI
MAFENI CHUMBANI NA SEBULENI
150,000X6 AU
KOD 180,000 x 4
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONTACT US:-
0716223412
0683597453