House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA ZA KISASA MPYAA.. ZINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
ZITAKUA TAYARI KWA HUHAMIA
KUANZIA TAREHE 15/03/2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA.
šļø APARTMENT'S ZIPO AINA 3 TOFAUTI
No: [1]
#MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LIMEFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENI ZIMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI
#HITER MAJI MOTO
#PAVING BLOCKS
#PARKING KUBWA
š„KODI YAKE š350K X6
No: [2]
#MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO SAFI NA MAKABATI
#HITER MAJI MOTO
#GARDEN NZURI SANA INAENDELEA KUOTESHWA HAPAš
š„KODI YAKEš300K X6
No: [3]
#MASTER BEDROOM KUBWA
JIKO KUBWA YENYE MAKABATI
NOTE:: HAKUNA SEBULE HAPAš
š„KODI YAKE 200K X6 š
šļøAPARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
SERVICE CHARGE 15K.
KWA KILA NYUMBA UKIIPENDA, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA.
CONT
0683234124
0718367179
šļøKARIBUNI SAANA š¹šæ