House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA KUBWA INAPANGISHWA BEI 170,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO (MPYA)
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 170,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7 USAFIRI
BAJAJI 800/_
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI