House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 110,000/= Γ 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI
#UMEME 10,000 KWA MWEZI
#NDANI YA FENSI
BEI NI 110,000/= Γ 6
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000 NA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa msigwa