House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 200,000

SOMA MAELEZO KWA MAKIN UYAELEWE
.
NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
.
LOCATION NI MBEZI MWISHO HII NJIA YA KUELEKEA KITUO MARAMBA MWISHO
.
KODI NI 200,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENSI PARKING SPACE IPO
.
UFIKAJI
=======
UKITOKEA MBEZI MWISHO BAJAJI NI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
.
UKITOKEA TABATA KINYEREZI BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0742260844
0657384670
.
DALALI SILAA

dalal silaa ubungo kimara
dalali_silaa_ubungo_kimara
dalal silaa ubungo kimara

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

SOMA MAELEZO KWA MAKIN UYAELEWE.NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI .LO...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KARIBU UISHI BARABARANI KABISA #STAND_ALONE_FOR_RENT AT MBEZI MWISHO MAGARI SABA Vyumba 3 vyakulala ...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KARIBU UISHI BARABARANI KABISA #STAND_ALONE_FOR_RENT AT MBEZI MWISHO MAGARI SABA Vyumba 3 vyakulala ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT YA KIBABE INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI SIFA ZAKE # INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER ...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

HOUSE FOR RENT STAND ALONE/INA JITEGEMEA IPO MBEZI JUU MAKONDE INA VYUMBA V4 VYA KULALA SEBLE DINING...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 470,000

HOUSE FOR APARTMENT. ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃DATE : LISTED 23 / 12/2024ASKING PRICE. TS...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO DK10 KWA MIGUU KUTO...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KM1 KUTOKA LAMI ------Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedro...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

House for rent 3bedrooms Location mbezi beach Price tsh ml 2Per Month More information Contact call...

Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 14,000,000

KIWANJA KIZURI KINA MSINGI WA NYUMBA YA KISASA KINAUZWA NA BANK KIPO MBEZI MSAKUZI DAR ES SALAAM TAN...