House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA UHAKIKA NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
BEI NI 150,000/=X 6
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 1 MOJA NA NUSU BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
CONTACT:: 0672 673363