House/Apartment for Rent at Mji Mwema, Njombe


APARTMENT MBILI ZINAUZWA MAENEO YA MJI MWEMA MAENEO YA MATAA NI NYUMBA YA PILI KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI
Kila apartment moja ina room tatu za kulala masta mbili na public moja sebule jiko,daining na stoo
Ukubwa wa eneo la kiwanja sqm 1000
Ina hati miliki ya Wizara ✅
Bei mil 220 maongezi kidogo Mama anaumwa anataka pesa ya matibabu ndio maana anazitupa nyumba zake kwa bei hiyo na zote hizo zina wapangaji kila mmoja analipa laki sita mikataba yao inaisha mwezi wa saba mwaka huu 🤗
kwa maelezo zaidi piga simu 0745834253/0615382085