House/Apartment for sale at Mji Mwema, Njombe


APARTMENT MBILI ZINAUZWA MAENEO YA MJI MWEMA MAENEO YA MATAA NI NYUMBA YA PILI KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI
Kila apartment moja ina room tatu za kulala masta mbili na public sebule jiko,
Sitting room diningroom
kiwanja sqm 1000
Ina hati miliki ya Wizara
Bei mil 220 maongezi
Contact call 0712531657
0789731685