House/Apartment for Rent at Salama, Mara
KARIBU UWISHI SEHEM NZUR NA SALAMA FULL ULINZI WAHI
#APARTMENT YA #KIBACHELA KALII SANA INAPANGISHWA #KIMARA_MWISHO KM 2 AU BAJAJI AU BODA, PIA UNAWEZA PITIA STOP OVER.
__
__
SEBULE
CHUMBA MASTER
FULL AC
FULL PAVING BLOCKS
MAJI NA UMEME LUKU YAKO
CCTV CAMERA
SEHEMU KUBWA YA PARKING
HEATER YA MAJI
BEMBEA YA WATOTO
JIKO LA NGUVU SANA
BARCON
MAZINGIRA MATAMU SANA
__
KODI 300,000/= × 6 (mteja aje na miezi kamili 6)
DALALI HELA YA MWEZI 1 UKILIPIA
KUONESHWA SITE 15000/=
__
NYUMBA IPO WAZI