House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
///dalali_muda_ubungo: Nyumba nzuri
yakupangisha
Itakuwa wazi tarehe 1mwezi wa 2
#Location: ubungo external
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-chumba sebule master na jiko
- dipoziti 350000
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 350000 Malipo Miezi Sita
Service Charge 15000/-
0677370515