House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 250X3
.
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
.
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 5, 6
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA UNAWEZATENGA NA DAINING JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
.
.
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI MNOO
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 KUPITIA UBUNGO KIBANGU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO NYUMBAN
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670
.
DALALI SILAA