Plot for sale at Kibaha, Pwani


#BANDA LINAUZWA KIBAHA #15,000,000/=
MALIPO MILIONI 15 TU!
--------------------------------
📌Mahali:KIBAHA LOLIONDO (MTAA WA MUHEZA) (PWANI) 🇹🇿
Umbali:2.Km Boda ELF 1500
__________________________
MUUNDO
✔️Ni Pagale la Kumalizia Tu
✔️Lipo Sehemu Nzuri
✔️Lipo Katika Makazi ya Watu
✔️ Anauza Ana Shida
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Banda lina Vyumba Vinne
✔️Sebule ,jiko na choo cha Master na public Toilet
_______________________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo dawasa)
✔️Huduma Za Kijamii Kama Shule ,Makanisa na Misikiti Ipo Karibu
📌 Eneo lina Ukubwa Sgr METER 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 15,000,000/=TZS.
Malipo milioni 15 Maongezi Yapo
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 25,000/=
0782636396 0655436396