Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 195,000,000

HOUSE FOR SALE.
.
Eneo : KIAGAMBONI.
Square Meters : 600.
.
.
Bei : Million 195/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
2 Master Bedroom's.
1 Single Bedroom.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Kigamboni Geza Ulole Block 18 moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 195 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Ipo Kigamboni Geza Ulole Maarufu Uwanja wa Yanga.
.
Ukiwa unatoka Hospitali ya Wilaya au Kwa Mkuu wa Wilaya unafika mpaka Geza juu halafu unakata upande wa kushoto kama una kuja Shule ya ABC CAPITA SCHOOL.
.
Mji wa Geza Ulole bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Barabara ya Geza juu maarufu Geza Center mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 4 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni karibu zaidi na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na Hospital ya Wilaya ya Kigamboni.
.
Kumbuka pia Nyumba Ina Servant Cotta yenye vyumba vitatu pamoja na jiko la kujitegemea.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana PASHA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501 AU 0768 313101
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
PASHA REAL ESTATE,live a Happy life.

dahuuofficial dahuuofficial dahuuofficial

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Cheka✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 4 vya kulala (kimoja Maste...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani (lami)<> nyumba Ina chumba kimoja master na jiko...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

Nyumba inapangishwa sifa zake ni Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko n k...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 546,000,000

PRIME RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE IN KIGAMBONI📍LOCATION : GEZA ULOLE (wilayani) KIGAMBONI(14km kutok...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

FOR SALE INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MIKWAMBE KIGAMBONI KIGAMBONI VYUMBA SABAPlot size ; sqm 1500As...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 70,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Geza Ulole ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m)...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location geza juu<> nyumba Ina vyumba vitatu viwili master sebule ...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

📍KIGAMBONI GEZA 🏠NYUMBA INAPANGISHWA 👉INAJITEGEMEA 🏠VYUMBA VITATU/VIWILI MASTER ________________...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

HOUSE FOR RENT ✅VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO ✅TSH 800k 😉 GEZA JUU KIGAMBON...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

House For Sale Location:Kigamboni Dar Es Salaam Plot Size Sqm 200Documents:Sales Agreements 4 Bedroo...

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __MITA 500 KUTOKA LAMI __DOCUMENT SILES AGLEMENT __ENEO ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

GHOROFA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA MIKWAMBE NYUMBA YA VYUMBA 7 VYAKULALA STINGIROOM DAININGIROOM KITCH...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kibugumo 🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kibada 🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨ J...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 2 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKOTSH 150k 😉 UNGINDONI KIGAMBONI SERVICE CHARGE 20k ZINGAT...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE AND JIKOTSH 350k 😉 DARAJANI KIGAMBONI SERVICE CHARGE 20k ZINGAT...