Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE.
.
Eneo : KIAGAMBONI.
Square Meters : 600.
.
.
Bei : Million 195/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
2 Master Bedroom's.
1 Single Bedroom.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Kigamboni Geza Ulole Block 18 moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 195 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Ipo Kigamboni Geza Ulole Maarufu Uwanja wa Yanga.
.
Ukiwa unatoka Hospitali ya Wilaya au Kwa Mkuu wa Wilaya unafika mpaka Geza juu halafu unakata upande wa kushoto kama una kuja Shule ya ABC CAPITA SCHOOL.
.
Mji wa Geza Ulole bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Barabara ya Geza juu maarufu Geza Center mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 4 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni karibu zaidi na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na Hospital ya Wilaya ya Kigamboni.
.
Kumbuka pia Nyumba Ina Servant Cotta yenye vyumba vitatu pamoja na jiko la kujitegemea.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana PASHA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501 AU 0768 313101
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
PASHA REAL ESTATE,live a Happy life.
dahuuofficial dahuuofficial dahuuofficial