Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba mpya kali sana ya kisasa inauzwa:
Nyumba Ina vyumba vitatu vyote ni master
Dirning sitting jiko stoo public toilet bafu na study room
Full makabati jiko na vyumbani
Ful A/C vyumba vyote
Servant cotar zipo mbili
Chumba master na jiko na chumba master
Counter ya kisasa na Choo cha public
Electronic fens, garden na maji dawasco
Pia nyumba Ina barabara pande mbili na mageti mawili
Eneo ni la kutosha kufanya chochote unachotaka
Ukubwa wa sqmt 2800
Umiliki ina hati miliki
Bei inauzwa milioni 500 maongezi kidogo
Location ipo madale mivumoni jirani na Reca hotel
Umbali ni km 1.2 kutoka barabara kuu ya madale mwisho
#Cal
#0717671240 au what's up 👍