Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

INAUZWA MADALE MSIGANI YENYE SIFA HIZO###VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE 💧Bei :: 400,000Tsh kwa Mwezi Muundo wa Nyumba;📍...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE MWISHO - KARIBU NA BARABARA 💧Bei :: 350,000Tsh Mie...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

🏡A HOUSE FOR SALE; 🌍𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣 :: MADALE MSIGANIHOUSE FEATURES;============⛳ 3 BEDROOMS(1 ma...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

...A VERY BEUTFUL & MOST PRIME BUSNESS PLOT FOR SALE//0768632709INAUZWA BEI YA MAOKOTO🥳🥳🥳 ✍️HII N...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

Nice house for saleMILLION 57 MAONGEZI KIDOGOYA KUMALIZIA MAMBO MADOGO MADOGO3 Bedroom Sqm 306Madale...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

Nice house for saleMILLION 57 MAONGEZI KIDOGOYA KUMALIZIA MAMBO MADOGO MADOGO3 Bedroom Sqm 306Madale...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

📍 KIWANJA KINAUZWA – MADALE 🏞️🔹 Plot ya pili kutoka lami 🛣️ – karibu sana na barabara kuu!🔹 Uku...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

A New House For Sale Location:Tegeta Madale Msigani Plot Size Sqm 306Documents:Sales Agreements 3 Be...

1 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

NYUMBA INAUZWALOCATED AT madale msigan kilometer 3 kutokea madale flamingoUKUBWA wa eneo sqm 18*17Si...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

🏡A HOUSE FOR SALE; 🌍𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣 :: MADALE MSIGANIHOUSE FEATURES;============⛳ 3 BEDROOMS(1 ma...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

🏡A HOUSE FOR SALE; 🌍𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣 :: MADALE MSIGANIHOUSE FEATURES;============⛳ 3 BEDROOMS(1 ma...

3 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

🏢 Apartments Mpya za Kisasa – Madale Mwisho 🏢🛏 Room 3 – Vyumba vyote ni master🧰 Full makabati – ...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

HOUSE FOR SALE;🌍𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣 :: MADALE MSIGANIHOUSE FEATURES;============⛳ 3 BEDROOMS(1 master ...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

HOUSE FOR SALE;🌍𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣 :: MADALE MSIGANIHOUSE FEATURES;============⛳ 3 BEDROOMS(1 master ...

1 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment Location madale kanji bayTwo bedroom one master bedroom sitting roomkicthen🪠Parking avail...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

GHOROFA INAUZWAMADALE PLOT SIZE 500SQMHATI IPOMITA 400 TOKA LAMI3BEDROOMS, MASTER 1SITTING,KITCHEN,D...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

✅️Apartment Inapangishwa:Location: Madale MwishoKM 2 kutoka lami boda 1000 tu Price: 350,000 tsh kw...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

NYUMBA NZURI SANA INAUZWAMADALE MBOPOPLOT SIZE 2000SQMSURVEYED PLOT HATI BADOVyumba Vitatu vya Kulal...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

Kiwanja kinauzwa Location Madale Kiwanja Sqm1,000 Bei 110ml Maongezi Kutoka lami mita 100Piga; 06522...