Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.