Plot for sale at Mlandizi, Pwani


*MLANDIZI NEW CITY PROJECT*
NI MRADI MPYA ULIOPO MLANDIZI.
🛣️AMBAO UPO 3KM KUTOKA BARABARA YA MAMA SAMIA
🚄NA MITA 300 KUTOKA RELI YA SGR
🏘️ UPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU NA ENEO MAARUFU LINALOJULIKANA KWA JINA LA NGETA.
⚡ HUDUMA ZA UMEME ZIMEKATIZA PEMBEZONI MWA MRADI .
💧 MAJI SAFI NA SALAMA PIA YANAPATIKANA KWA URAHISI.
ANZA LEO KWA MALIPO YA CASH 1 SQM KWA 8,000/= ( 400 SQM ) NI 3,200,000/=
MALIPO YA INSTALLMENT 1 SQM KWA 10,000/= ( 400 SQM ) NI 4,000,000/= KWA MALIPO YA MIEZI 20 NI SAWA NA 200,000/= KWA KILA MWEZI .
FURSA HII ISIKUPITE.💫💫💫