Plot for sale at Mwarusembe, Pwani


Mwarusembe, Mkuranga, Pwani
1 year ago
Sh. 10,000,000
Eneo zuri la BIASHARA na MAKAZI
Eneo linapatikana MWARUSEMBE MKURANGA..lipo mita 200 kutoka senta ya MWARUSEMBE..
Eneo linafaa kwajili na uwekezaji, kujenga fremu, kiwanda, sheli, nyumba za kupanda nk.
Ukubwa wa eneo heka 6 na heka 2 unaweza ukaunganisha
Bei milion 10 kwa heka
Limeshika barabara ya lami (KILWA ROAD) barabara ya kwenda Lindi/ Mtwara..
Nipigie sasa 0710855997/0752855996
Whatsapp 0769355987