Plot for sale at Mwenge, Dar Es Salaam


.
#KIWANJA_KINAUZWA_MBEZI_KWA_MSUGURI
#KIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 780 YAANI MITA 30 KWA MITA 26
#KIWANJA KIZURI SANA NA KIPO KARIBU NA MOROGORO ROAD YAANI UMBALI WA KUTEMBEA DAKIKA 10 MPKA 15 KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI NI #MILIONI 45 #MAONGEZI_YAPO
#HUDUMA ZOTE ZA KIJAMIII ZIPO ZOTE KARIBU
KIWANJA KINA DOCUMENT YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
#KIWANJA KINAFAAA KWA MAKAZI AU KWA AJILI YA KUJENGA APARTMENTS ZA KUTOSHA PIA
#SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE NI TZS 30,000/=
Kwa huduma ya nyumba nzuri za kupanga wasiliana SWAHILI_REAL_ESTATE
Ama fika ofsn kwetu Mwenge Lufungira nyuma ya jengo la Tanzanite tower