Plot for sale at Nyaishozi, Kagera


kiwanja kizuli sana kwa biashala ya kujenga apartment kiwanja kipo tegeta nyaishozi nikiwanja cha pili kutoka lami kina ukubwa wa sqmt 1400 kiwanja kina hati miliki ya wizala kiwanja kizuli sana kipo sehem nzuli bei kitonga jamaa anashida sana bei million 65 yani sjuwi nikwambie nini njoo uone mwenyewe tena wahi mapema yan kiwanja keki sana
#Cal
#0717671240 au what's up ππ