Residential Plot for Sale in Tabata Shule, Dar Es Salaam (700 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 120,000,000

Type

Residential Plot

Plot Size

700 SQM

Amenities

Fence
Near Bus Station
Near Road
Near City Center

Description

🏢 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SHULE 🏢

Kiwanja kizuri sana kinauzwa Tabata Shule, takribani dakika 2 tu kutoka kituoni 🚶‍♂️ na ufikaji ni rahisi kabisa 🚗.

📐 Ukubwa: SQM 700
🔒 Kipo ndani ya fence na kuna nyumba za zamani za kuvunjwa 🏚️, hivyo unaweza kuanza ujenzi mara moja 🧱.

Hii ni fursa nzuri sana kwa uwekezaji wa apartments 🏬.

Unaweza kujenga:
🔹 Vyumba viwili, sebule na jiko na kupangaisha kuanzia 700,000/= 💰 kulingana na finishing.
🔹 Au Master bedroom na jiko na kupangaisha kuanzia 500,000/= 💰 kulingana na finishing.

⭐ Watu wengi wanapenda sana kuishi Tabata Shule kwa sababu:
✔️ Hakuna foleni 🚗❌
✔️ Ufikaji wa mjini ni rahisi sana 🛣️
✔️ Ni karibu na mjini kuliko kwenda mbali kama Kinyerezi au Tabata Segerea.

Ndiyo maana wapangaji wengi wanaprefer kuishi Tabata Shule au Tabata Mwanzo.

💰 Bei: Milioni 120 tu
👀 Service charge: 30,000/=

🔥 Hapa unaweza kufanya uwekezaji mzuri sana na kutengeneza faida kubwa kwa kupangisha.

🤝 Karibu tajiri tufanye biashara.

📞 Wasiliana nami: +255 688 412 890
✨ Dalali wako Wakishua

Similar items by location

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Segerea kwa Bibi, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000 per month

Hii apartment nzuri sana inapangishwa bei 400000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, hii apartment ni ch...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Bonyokwa, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

APARTMENT ZINA PANGISHWA TABATA BONYOKWA DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI -----Chumba master Seble kubwa Ji...

3 Bedrooms Apartment for Rent in Tabata Baracuda, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 500,000 per month

NEW APARTMENT FOR RENT 2 ON COMPOUND Location Tabata Baracuda Zero Distance To Main Road Nyumba Inat...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Segerea Kwa Bibi, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000 per month

NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA SEGEREA KWA BIBIBei:400,000/ Per Month...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Tabata Kinyerezi Kibaga Zabika, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000 per month

Stand alone) Hii apartment inayojitegemea yenyewe ndani ya fence inapangishwa bei 400000 kwa mwezi k...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Bonyokwa Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

[ 200,000 X 5 ] TABATA BONYOKWA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE C...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Bonyokwa Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWAA🪴_____________>>📍MAHALI -TABATA BONYOKWA MWISHO Umbali kutoka b...

Residential Plots for Sale in Tabata Segerea Ugombolwa, Dar Es Salaam (400 sqm)
  • 400sqm
  • Residential
  • Project

Sh. 90,000 per sqm

•Viwanja vilivyopimwa viko 8•Tabata segerea ugombolwa•Sqm1=90,000•kuanzia Sqm 400 na kuendelea•Mita ...

3 Bedrooms House for Sale in Tabata Kinyerezi Mwisho Kisungu, Dar Es Salaam (500 sqm)
  • 500sqm
  • Residential

Sh. 145,000,000

NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA HAPA TABATA KINYEREZI MWISHO KISUNGU DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 BEI: 1...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Segerea, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 250,000 per month

apartments 6) brand new... house for rent 250000/=/month at tabata segerea mwisho......(viwanja vya ...

3 Bedrooms House for Rent in Tabata Aroma, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 450,000 per month

Vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebule dinning jiko bei 450,000/Location tabata aroma06725517...

House/Apartment for Rent in Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000 per month

NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA SEGEREA KWA BIBIBei:400,000/ Per Month...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Kinyerezi Mwisho Zimbili, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 250,000 per month

NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA ZIPO KWENYE FENCE TABATA KINYEREZI MWISHO ZIMBILI Bei: 250,000...

3 Bedrooms House for Rent in Tabata Kisukulu Maji Chumvi, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 600,000 per month

#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI_ISIYOLAZA_GARI_INAPANGISHWA 📌SEBULE KUBWA 📌VYUMBA 3 V...

1 Bedroom Apartment for Rent in Tabata Bonyokwa, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

[ 200,000 X 5 ] TABATA BONYOKWA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE C...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Tabata Kinyerezi Songas Zabikha, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000 per month

APARTMENT INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI SONGAS ZABIKHA MWISHO WA BAJAJI _______VYUMBA 02 KODI TS...

1 Bedroom House for Rent in Tabata Kinyerezi Songas Zabikha, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

CHUMBA KIMOJA MASTA SEBULE JIKO_____KINAPANGISHWA TABATA KINYEREZI SONGAS ZABIKHA NDANI YA FENCE KOD...