Plot for sale at Toangoma, Dar Es Salaam
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA
MAHARI: KIGAMBON TOANGOMA
BEI TSH MILION 450 MAONGEZI YAPO
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo : SQM 1,200
Nyumba Ina Jumla Ya Vyumba Sita (6)
Juu Kuna Vyumba Vitatu Na Chini Kuna Vyumba Vitatu Vyote Master
Dinning room
Sitting room
Kitchen
Public Toilet
Pia Kuna Servant Quarter Ya Chumba Kimoja Master, Sitting room na kitchen
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Sana Wa Kishua
Barabara Iko Vizuri Mpaka Kwenye Nyumba
GHARAMA ZA KWENDA SITE NI Tshs 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0652912222
0782414315