House for sale at Mawasiliano, Morogoro

 media -1
media -1
Sh. 200,000

*KABLA YA KUANZA UJENZI SOMA HAYA MAELEZO KUHUSU MAKADIRIO UTANISHUKURU BAADAE*

Katika Post hii blchomes tunakuelezea vitu vya kuzingatia unapofanya bajeti yako ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya ujenzi, iwe plumbing, wiring, skimming, tiles n.k ⬇️

Usisahau kusave post hii kwani itakusaidia baadae kwa sababu asilimia kubwa ya kazi za ujenzi zinasimama au kuishiaa katikati kwa kukwama hapa

🔰... *Tiririka nayo*⤵️ ➡️

Ukishapewa makadirio ya ujenzi na fundi wako, kitu ambacho inabidi ukiweke kichwani ni kwamba, shughuli za ujenzi zinakubwa na mabadiriko/changamoto nyingi ambazo zitahitaji hela ya ziada ukitoa ile ya makadirio uliyopewa na fundi.

➡️ Changamoto au mabadiriko hayo ni kama vile hali ya hewa(mvua), mabadiriko ya bei ya materials kukosewa kwa makadirio, kuharibika kwa materials katika usafirishaji au utunzaji n.k.

Mabadiriko au Changamoto hizi zote zitahitaji fedha ambazo mara nyingi hazipo kwenye Makadirio ya awali uliyopewa

➡️ Kipi unatakiwa kufanya ukipewa makadirio na fundi ili usikwame? ⬇️ ➡️

Hakikisha makadirio yoyote unayopewa ongeza asilimia 10 mpaka 20 ya ile hesabu uliyopewa ili kuepukana na hizo changamoto.

➡️ Kwa mfano makadirio ni Tsh 2,000,000/= materials pamoja na ufundi .

Basi kabla ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya kuendeleza jengo basi hakikisha una kiasi kisichopungua Tsh 2,200,000. Hii 200,000 ya ziada itasaidia pale changamoto au mabadiriko ya bei yanapoibuka.

Blchomes tunaendelea kufanya ujenzi kuchora ramani na tunakusaidia kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yako au jengo lolote

Umeipenda post hii?

Basi like na kushare kwa marafiki ambao unahisi itawasaidia.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au WhatsApp number 0742892195

#ujenzinafuu#ujenziwqnyumba#ujenzighorofa#building#siteprogress#kujenga#3bedrooms#4bedrooms#3bedrooms#ujenzinafuu#ujenzidaressalaam#nyumbazakisasa#nyumbanzurisinza

real estate company _ Tanzania
blchomes_
real estate company _ Tanzania

Similar items by location

4 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

4 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 1,000,000

APPARTMENT YA GHOROFA ZINAPANGISHWA KWA MAKAZI MLIMWA C ZINATAZAMA LAMI________MAHALI-MLIMWA C______...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 517,158

KIWANJA KINAUZWA KIPO TUBUYU MOROGORO BEI NI MILION.18 TU KINA UKUBWA WA SQM 600 KIPO BARABARANI KIN...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

0679 997610 APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIF...

3 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

500K X6NYUMBA YA KI FAMILIA INAPANGISWA KIBANDA CHA MKAA UMBALI KM 2STAND ALON KALI SANA INAPANGISWA...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

3 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 700,000

SPACIOUS 3BED HOUSE FOR RENT..🥰🥰..PENGINE UNAHITAJI KWAAJILI YA KUISHI AU KUFUNGUA OFISI?✔️ Vyumb...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 45,000,000

KIWANJA KINAUZWA KINA FENSI PANDE 02_______MAHALI-MAKULU(MAPINDUZI)_______UKUBWA WA KIWANJA-463SQM__...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 80,000,000

KIWANJA CHA KWANZA LAMI ILAZO-KINA FENSI NA GETI_______MAHALI-ILAZO (MITA 300 KUTOKA LAMI MORO-DAR)_...

House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 250,000

0679 997610 NI APARTMENT NZURI MPYAAA KABISA APARTMENT ZIPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAEND...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHU...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 💥ZIMEBAKIA 2 TUU NDUGU MTEJA CHANGAMKA�...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHU...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 💥ZIMEBAKIA 2 TUU NDUGU MTEJA CHANGAMKA�...

House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI MPYAAA KABISA APARTMENT ZIPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI UMBA...

House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI MPYAAA KABISA APARTMENT ZIPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI UMBA...

5 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 48,000,000

NYUMBA YA TANO KUTOKA LAMI INAUZWA ILAZO BLOCK C JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 638 sq.mIna vyumba vit...