House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 100,000
Project
Yes

πŸ“Œ BUNJU BEACH YA USHUANI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

● Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

● Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

● Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

● Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●●●Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 500 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 3, utaanza na 70% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 3 tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa inayoenda uwanja wa simba sports club.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0750768201 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

House For Sale Location:Bunju B Plot Size Sqm 1,002Documents:Title Deeds(Ina Hati Miliki)2 Bedrooms ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

Nyumba zinapangishwa zipo nne bunju b masait bedroom's 3 tsh 700,000DATE': 21/02/2025CITY': DAR ES S...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA 3, TSHS.100 MILIONI, BUNJU-BNi nyumba nzuri yenye nafasi na ya kisasa.__________...

4 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

21/2/2025Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea Location bunju A bunju beach ⛱️ Kodi 450000 kw...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa ofa 21/2/2025Nyumba inapangishwa apartment 2...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea bunju b sokini bedroom's 3 tsh 700,000DATE': 21/02/2025CITY':, DAR ...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

21/2/2025Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea Location bunju A shule mji mpya Kodi 800000 kw...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

KALI SANA INAUZWA BUNJU A FANAKA YENYE SIFA Hz###0759128747 } { 0712058357 0624436503 } { whatsappVY...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

NYUMBAKALI KABISA YA KISASA INA UZWA BUNJU BEACH MOGA -------SQMT 1500HATI MILIKI SAFI --------SERVI...

2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA NZURI SANA 🏑🏘 INAPANGISHWALOCATION: BUNJU BINA VYUMBA VIWILI VIKUBWA CHUMBA KIMOJA MASTER S...

House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA INAPANGISHWA INAJITEGEMEA ____11/02/2025.Ipo bunju kinondoni. Bei 700,000/= Kwa mwezi malipo ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa zipo nane bunju b masait bedroom's 2 tsh 300,000CITY': DAR ES SALAAM TZ DISTRICT...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa zipo nane bunju b masait bedroom's 2 tsh 300,000DATE: 20/02/2025CITY': DAR ES SA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba inapangishwa zipo mbili bedroom's 2 bunju b sokini tsh 250,000DATE: 20/02/2025CITY': DAR ES S...

House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

NYUMBA INAUZWAMAHALI. BUNJU A SHULEBEI MIL 150 MAONGEZICONTACT #0758998074πŸ‘ˆ#0689138795whats...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

NYUMBA NZURI SANA 🏑🏘 INAJITEGEMEA INAPANGISHWALOCATION: BUNJU A SHULEINA VYUMBA VITATU VYUMBA VIWI...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA___________LOCATION: BUNJU A - MIANZINI ___________UKUBWA: Kiwanja Kin...

2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO PEKEE NDANI YA FENSI YA WAYA___________LOCATION: BUNJU 'B' - ___________- B...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

20/2/2025Nyumba INAUZWA Location bunju A mianzini Bei million 270Vyumba 3 full funishedPiga simu 074...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

19/2/2025Nyumba inapangishwa apartment 4Location bunju A shule Unatembea kwa miguu Bei 250000 kwa mw...