Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 100,000
Project
Yes

πŸ“Œ BUNJU BEACH YA USHUANI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

● Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

● Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

● Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

● Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●●●Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 500 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 3, utaanza na 70% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 3 tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa inayoenda uwanja wa simba sports club.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0750768201 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Bunju BIna Vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni Master, Dining...

Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

🌟 NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA πŸŒŸπŸ“ Mahali: BUNJU B – Mtaa mzuri sanaCHINIπŸ›οΈ Chumba Master🍳 JikoπŸ’Έ K...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

Hii nyumba IPO bunju Inajitegemea ndani ya fensi Ina vyumba vitatu self contained mojaNi nyumba mpya...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 295,000

NYUMBA YA KISASA INAUZWA β€’ LOCATION (IPO) BUNJU BEACH MTAAA WA MATAJIRI TU! *β€’ NYUMBA INAVYUMBA 3NA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

25/10/2025NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS KODI 300,000 KWA MWEZI MIEZI 3 AU 6VYUMBA 2 VYOTE MASTER SE...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🏑 NYUMBA YA KUPANGA – BUNJU MIANZIN (Apartments ZIPO 3, MOJA Ipowazi)πŸ›οΈ Chumba 3 kinapangishwa: β€’ ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

πŸ“NEW ✨ NICE APARTMENT 🏑🏘️ FOR RENT: IPO BUNJU A {DAR ES SALAAM} INA VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SE...

Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

NYUMBA INAUZWATSH MIL 350IPO BUNJU BEACH MOGAUKUBWA KIWANJA SQM 600NYARAKA INA HATI0712464777076907...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

24/10/2025NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS KODI 300,000 KWA MWEZI MIEZI 3 AU 6VYUMBA 2 VYOTE MASTER SE...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

24/10/2025NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS KODI 300,000 KWA MWEZI MIEZI 3 AU 6VYUMBA 2 VYOTE MASTER SE...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

πŸ“NYUMBA NZURI SANA 🏑🏘️ INAPANGISHWA: IPO BUNJU A {DAR ES SALAAM}INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA M...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI- BUNJU ENEO-MOGA β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒNYUMBA MPYAAπŸ’―#CH...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🌟 STAYALONE INAPANGISHWA πŸŒŸπŸ“ Eneo: BUNJU B - Karibu na Main Road🏠 Muundo wa Nyumba: β€’ πŸ›οΈ Vyumba...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🌟 STAYALONE INAPANGISHWA πŸŒŸπŸ“ Eneo: BUNJU B - Karibu na Main Road🏠 Muundo wa Nyumba: β€’ πŸ›οΈ Vyumba...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Nyumba inauzwa bunju b mazingira bedroom's 3 self conteined all sitting room dining room kitchen pub...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Nyumba inauzwa bunju b mazingira bedroom's 3 square meter 1000 tsh 250 milion servants quarter