House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Goba njia nne
Bei: 100,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Chumba Kimoja Master
☑️Sebule Kubwa
☑️Tiles, Gypsum
☑️Luku sabmeter
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 15,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimmeru
Whatsapp: /call
0782724115