House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

NYUMBA I N A U Z W A TZS 75 MILIONI MAONGEZI YAPO LOCATION KIGAMBONI TUANGOMA DAR ES SALAAM TZ √ VYU...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 11,000,000,000

Gorofa linauzwa Location kigamboni kibada dar es salaamBei bilioni { 1,1 / bilioni 0759128747 } { 06...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 11,000,000,000

Gorofa linauzwa Location kigamboni kibada dar es salaamBei bilioni { 1,1 / bilioni 0759128747 } { 06...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Kigamboni Buyuni City ProjectTaarifa za mradi;- km 2 kutokea barabarani- ⁠Mita 500 kutokea shule ya ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Kigamboni Buyuni City ProjectTaarifa za mradi;- km 2 kutokea barabarani- ⁠Mita 500 kutokea shule ya ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Repost dalali_Hans_kigamboni17-09-2024🔸NYUMBA YA KUKODI(APARTMENT )*slide kushoto kwa picha zaidi*�...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

Repost dalali_Hans_kigamboni17-09-2024 FULL FANISHERD 📍🔸NYUMBA YA KUKODI(APARTMENT )*slide kushot...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Repost dalali_Hans_kigamboni17-09-2024🔸NYUMBA YA KUKODI(APARTMENT )*slide kushoto kwa picha zaidi*�...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Repost dalali_Hans_kigamboni18-09-2024🔸NYUMBA YA KUKODI(APARTMENT 2 IN 1 )*slide kushoto kwa picha ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Repost dalali_Hans_kigamboni18-09-2024🔸NYUMBA YA KUKODI(APARTMENT 2 IN 1 )*slide kushoto kwa picha ...