House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ZURI
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
IPO NDAN YA FENS PARKING HAKUNA
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0655256419