House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT 2 TU ZA JUU NYUMBA NZURI SANA LAKI 650000X6 DIPOZIT LAKI2
INA VYUMBA3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET YA NDANI
FULL AC
KUNDI 2= VYUMBA2 VA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PIA PUBLIC TOILET IPO BEI LAKI 550000X6
DIPOZITI LAKI 2
KALIBU MTEJA ZINAPANGISHWA KWA BEI POA ZOTE IZO UNAJITEGEMEA
UMEME MITA YAKO MAJI MITA YAKO
IZI NYUMBA ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KM 1 TU UPO NDANI
USAFIRI MWINGI BAJAJI 500
DARADARA ZA K/KOO ZIPO UKISHUKA TU
UNAPIGA TEKE MLANGO UNAINGIA NDANI
SERVICE CHARGE 1500
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
ZIPO NDANI YA FESI CHINI MAFUND WANAENDELEA NA KAZI WANAWEKA PEVINGI