House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 ร 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10
๐คNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE NA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300