House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER BEDROOM INAPANGISHWA- KIMARA MWISHO MPYAAAA MPYAA
chumba Cha kulala Kikubwa
Choo ndani
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 3
Umeme WAKO Maji yanaflow chooni.
Umbali KM 2. toka kituoni Usafiri bajaji zipo zakutosha
Ndani ya fence parking ipo
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37