Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa Milioni 6 tu
Kiwanja kinafaa kujenga viapatiment vya kupangisha kama master jiko v4 vinatoka unakula kodi nzr tu
Kiwanja kipo kimara suka km2 usafiri bajaji 700
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Kiwanja kinaukubwa wa square 270
Piga cm uwai kiwanja hicho bei mserereko tu
Sevchage 25000 kwenda Kuona saity
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347