House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 4) KIMARA MWISHO
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 26/04/2023 KUONA MALIPO RUKSA #BEI 150K
#MASTER NA JIKO KUBWA SANA
HAKUNA SEBULE SOMA MAELEZO KWA MAKINI
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO KIKUBWA SANA
#PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU 2 TU
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI DK 20 KWA MIGUU AU BODA BUKU TU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300