House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——#0625606710
NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO KIMARA SUKA.
💰KODI NI 250,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6 .MPAKA 4
SIFA ZAKE
###########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE
JIKO NA
PUBLIC TOILET
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
APARTMENT ZIPO NDAN YA FENSI PARKING IPO
KAMA UNAVYOONA INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI
UMBALI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 1000
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja