House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA
.
.
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
.
.
KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
.
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI