House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


*STAND ALONE KIJUMBA KIPO PEKE YAKE KIZURI KINA JITEGEMEA GETI*
*LOCATION:KIMARA TEMBON UMBALI WA KM1*
PIKIPK 1000 BAJAJI 500 NJIA MKEKA SANA
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAP
VYUMBA VIWILI VYA KULALA (HAINA MASTER)
SEBULE
PUBLIC TOILET NDANI
JIKO NJE
UMEME WAKE
MAJI YAKE NA TANK
PEVING BLOCK
FENSI KUBWA YAKE
MTAA MZUR USALAM UPO
BEI NI 230,000 ILIPWE MIEZI SITA (TAHADHARI IWEPO MWEZI MMOJA)
*ANGALIZO:HAPA MTEJA ANA RUDISHIWA KODI NA HUYO MTEJA NILI MPANGISHA MIMI*
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja