House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA (500) UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI
#BEI NI 270,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA