House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
🏘️APARTMENT NZURI SANA, ZA KISASA MPYA KABISA
ZINAPANGISHWA
#KIMARA_TEMBONI
💥KODI YAKE 300K X6
HAPA ZIPO 2, UPANDE WA JUU,
NA UPANDE WA CHINI,,
NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU, UMEME NA MAJI SAFI DAWASA..
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA, VYOTE NI MASTER BEDROOMS
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
SERVICE CHARGE 15K.
❌NYUMBA HIZI MPYA ZIPO KATIKA HATUA ZA MWISHO KABISA, BADO VITU VIDOGO KUKAMILIKA, NA MAFUNDI WAPO KAZINI KWA SPEED YA 5G, ZITAKUWA TAYARI KUHAMIA RASMI TAR 01/ 07/ 2024, NA FENCE PIA ITAJENGWA, KUJA KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA ❌
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA 📌
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano dalali mwenzi mmoja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja