House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
IMESHUKA BEI MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE WASTANI PUBLIC TOILET YA PEMBENI NA JIKO LAKE
LOCATION: KIMARA STOP OVER
KODI 250,000X6
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1 AU BODA 1000
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA TANK LAKO LA JUU
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
📌NDUGU MTEJA NYUMBA HII SEBULE YAKE SIYO KUBWA SANA KARIBU SANA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
napatikana muda wote karibuni sana wateja