House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Dakika 4-5 kutembea Kutoka Mwendokasi
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet Nje
🔹Umeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fence yake Hailazi Gari.
👉Ziko Apartment 2 Hapa, Moja Inakuwa Wazi Tar 22/06/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa.
🔶Kodi Tsh 300, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 300, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊