Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT  #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Korogwe 
๐Dakika 4-5 kutembea Kutoka Mwendokasi
#SIFAZAKE
๐นVyumba Viwili, Kimoja Master 
๐นSebule
๐นJiko 
๐นPublic Toilet Nje
๐นUmeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
๐นFence yake Hailazi Gari.
๐Ziko Apartment 2 Hapa, Moja Inakuwa Wazi Tar 22/06/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa.
๐ถKodi Tsh 300, 000/=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Jose Tsh 300, 000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
 ,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐




















