House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA HII WAHI MAPEMA CHAPU KODI NI 250,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA LA OPERN KITCHEN
IPO KIMARA SUKA
UMBALI WA DAKIKA 10-15 KWA MGUU
AU BODA BODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKA MLANGO
UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO YANAFLOW NDANI
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU
#0785889413🔥🔥