House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
350,000×5,,6
=========
STAND ALONE KUBWA SANA YA FAMILIA INA PANGISHWA
KIMARA TEMBONI
LOCATION: KIMARA TEMBONI
KODI 350,000X6
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA DINNING ROOM
JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA NA
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
USAFILI BAJAJI 1000
BODA BODA TSH 1,500
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 4 UPO NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
UKILIPIA UNAWEKEWA MAKABATI YA JIKO
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja