House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 300,000/=ร4
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
๐น๐ฟ APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐๐ APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI PIA NAOMBA UZINGATIE TAREHE NDUGU MTEJA
0655256419