House for Rent at Kivule, Dar Es Salaam


Chumba sebule na choo kinapangishwa
Location kivule mwembeni (kwenye lami)
BEI 100000
Umeme submita maji unajitegemea
Ndani ya fensi wapangaj 3
Gari Moja mpaka mjini
0788156493 0614130017
Survey charge elfu 20,000